Diamond Platnumz ndani ya Tuzo za ‘African Youth Choice Awards’ za Nigeria
Muimbaji huyo wa ‘Nana’ anawania vipengele viwili kwenye tuzo hizo, ambavyo ni YOUTH CHOICE Artiste Of The Year pamoja na YOUTH CHOICE Best Male.
Hivi ni vipengele anavyoshindania:
YOUTH CHOICE Artiste Of The Year:
wizkid – Nigeria
Davido – Nigeria
Yemi Alade – Nigeria
Sarkodie – Ghana
Aka – South Africa
Eddy Kenzo – Uganda
Diamond Platnumz – Tanzania
YOUTH CHOICE Best Male:
Aka – South Africa
Olamide – Nigeria
Stoneboy – Ghana
Skales – Nigeria
Diamond Platnumz – Tanzania
Patorankin – Nigeria
Post a Comment