Featured

    Featured Posts

Diamond aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram

Diamond Platnumz aongoza orodha ya mastaa wanaoishi Afrika wenye followers wengi zaidi Instagram




Diamond Platnumz

Awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii wa Nigeria, Davido.

Hata hivyo orodha ya mastaa waliofikisha followers milioni moja imeongozwa na watanzania.

Hii ni orodha kamili kwa mujibu wa namba za December, 29.

Diamond Platnumz Utanipenda MP3 Download

Diamond Platnumz Utanipenda MP3 Download

Diamond Utanipenda

Diamond Platnumz new song Utanipenda is Now Hot All over Africa. Download the song here!!!

Diamond Platnumz nyimbo zake mpya zitaacha historia


Diamond Platnumz ni msanii ambaye (angalau kwa sasa) haoneshi dalili za kushuka kimuziki hivi karibuni. Tunayo mifano mingi ya wasanii wa Bongo ambao waliwahi kufanya vizuri sana na baadaye kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki.
Diamond ambaye ameachia ngoma mpya ‘Utanipenda’ wiki iliyopita ambayo imekuwa gumzo kwa watu wa kila rika, ana akiba ya hits na collabo za maana, ambazo kwa mujibu wa mpiga picha wake zinampa uhakika wa kuendelea kukaa kileleni kwa miaka mingine kumi ijayo.

Diamond Platnumz aongoza kwenye orodha ya ‘Top 15 African Artists of 2015’ ya Afrimma

Diamond Platnumz aongoza kwenye orodha ya ‘Top 15 African Artists of 2015’ ya Afrimma Kupitia website yao,

Diamond Platnumz
Diamond Platnumz

Afrimma wameandika kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii aliyeshika nafasi ya kwanza katika orodha hiyo, huku Wzkid kutoka Nigeria akifata kwenye nafasi ya pili, Olamide kwenye nafasi ya tatu na na Davido akiwa kwenye nafasi ya nne. Kwenye tuzo za Afrimma mwaka huu zilizofanyika Oct. 10 Dallas, Marekani, Diamond alishinda tuzo 3, ikiwemo ya Msanii Bora Wa Mwaka.

Video: Diamond Platnumz – Utanipenda

Video: Diamond Platnumz – Utanipenda 




 Msanii Diamond Platnumz ameachia video yake mpya ya wimbo “Utanipenda”. Video hii imefanyika South Afrika na Tanzania katika hii video Diamond amejaribu kuonyesha karibu kila alicho kiimba humo ndani wameonekana ma star kama Wolper, FA, Mama Diamond, Zari,Mastar J,Shaa, Tale na Fella. Vdeo imeongozwa na Godfather.



Video: Mayunga – Nice Couple



Video: Mayunga – Nice Couple

Video ya Diamond ‘Number One Remix’ yafikisha views milioni 10 Youtube


Video ya Diamond ‘Number One Remix’ yafikisha views milioni 10 Youtube



Miongoni mwa vipimo vya mafanikio kwa mwanamuziki yeyote duniani ni pamoja na namba, ndio maana ni muhimu sana kwa msanii kuhakikisha ana namba zinazoshawishi katika mitandao yake ya kijamii kwa maana ya followers, na views za kutosha Youtube.

www.CodeNirvana.in

Translate

Total Pageviews

Copyright © DIAMOND PLATNUMZ | Blogger Templates | Designed By Code Nirvana